CHEZA PESA :  Maswali na Majibu

1.      Jinsi ya kucheza Cheza Pesa ?    

·        Nenda kwenye Mfumo wa Pesa kwenye simu yako, Chagua Lipia Bili kisha namba ya kampuni weka 551551

·        Kwenye namba ya kumbukumbu, ingiza namba zako Tano za bahati kuanzia 0-9 zikifuatiwa na neno SHINDA, mfano 12345 SHINDA

·        Ingiza kiasi chochote cha fedha kama dau lako. Unaweza kuweka kiasi chochote kuanzia Tzs 500 hadi 2,000

 

2.      Nawezaje kuingia kwenye Jackpot ?       

Habari, Kila unapocheza unapata nafasi moja ya kuingia kwenye Jackpot. Asante

 

3.      Baada ya namba zangu tano naandika nini?       

Habari, Unatakiwa kuandika neno SHINDA. Asante.

 

4.      Kwanini ujumbe wa Chezapesa unachelewa kunifikia baada ya kucheza ?            

Habari,Ujumbe wa Chezapesa utachelewa kukufikia kutokana na mtandao kuzidiwa kugawa ujumbe kwa wachezaji wote wa lisaa husika, lakini bashiri zako zinatufikia na ikitokea umeshinda utapokea pesa yako kama kawaida. Asante

 

5.      Je natakiwa kucheza namba za bahati hizo hizo pekee bila kubadili.        

Habari, Unaweza kubadili namba za bahati kila unapocheza Chezapesa. Asante

 

6.      Naweza kucheza mara ngapi kwa siku ?

Habari, unaweza kucheza mara nyingi kadri uwezavyo kila baada ya dkk 2 siku nzima. Asante

 

7.      Je naweza kujua nina point ngapi hadi sasa ?

Habari, Bahati nasibu ya Chezapesa huchezeshwa kwa kutumia namba za bahati pamoja na

               tiketi na sio point. Asante

8.      Chezapesa itaisha lini?  

Habari, Chezapesa ni mchezo wa bahati nasibu endelevu na hauna kikomo. Asante

 

9.      Mwisho wa kucheza ni saa ngapi ?

Habari, Chezapesa huchezwa kwa saa 24 siku nzima. Asante

 

10.   Je napataje namba za bahati ?

Habari, Pangilia namba zako kwa kukisia kichwani kuanzia 0 mpaka 9 ili kubahatisha namba za ushindi. Asante

 

11.   Nimecheza mara nyingi lakini sijawahi kushinda kwanini ?

Habari, Ili kushinda unapaswa kulinganisha namba za ushindi zote Tano , Nne , Tatu na Mbili kwa mpangilio. Asante

 

12.   Kwanini mtu asiongezewe kiwango kama atafananisha namba zote Tano lakini hazipo kwenye mpangilio?

Habari, Ni utaratibu ili upate mara 15,000 ya pesa lazima namba zako tano za bahati zifanane sawa kwa mpangilio na namba za ushindi wa lisaa husika. Asante

 

13.   Nastahili kuwa umri gani kushiriki CHEZA PESA ?

Kulingana na sheria na kanuni za Bodi ya michezo ya bahati nasibu nchini GBT, unastahili kuwa na umri wa miaka 18+

 

14.   Nitashindaje na CHEZA PESA ?

Kwa tiketi ya Tsh 500 tu, CHEZA PESA inakupa njia nne za kushinda;

 

1) Linganisha namba MBILI kwa mpangilio ushinde mara 10 ya bet yako

2) Linganisha namba TATU kwa mpangilio ushinde mara 25 ya bet yako

3) Linganisha namba NNE kwa mpangilio ushinde mara 500 ya bet yako

4) Linganisha namba TANO kwa mpangilio ushinde mara 15,000 ya bet yako

 

15.   Nitajuaje nimeshinda kwenye draw za dakika 2?

CHEZA PESA ni mchezo wa kipekee unaokuruhusu kucheza moja kwa moja kupitia Mpesa. Huhitaji kujisajili wala kuwa na akaunti, unacheza tu kupitia Mpesa ama Tigo Pesa . Mara unaposhinda pesa zako zinatumwa mojamoja kwenye Mpesa ama Tigo Pesa.

 

16.   Itanigharimu pesa ngapi kucheza CHEZA PESA?

Unaweza cheza kwa kiasi kidogo zaidi cha Tzs 500 hadi Tzs 2,000. Unavyocheza zaidi ndivyo unavyopata nafasi nyingi za kushinda.

 

17.   Naweza nunua zaidi ya tiketi moja?

Unaweza nunua tiketi mingi zaidi unavyotaka, ilhali tunakuomba ushiriki kwa makini kulingana na uwezo wako.

 

Kumbuka CHEZA PESA ni mchezo wa kujiburudisha na sio kazi au njia ya kuwahi riziki.Tunakuomba uwajibike na ushiriki kwa makini

Jukwaa hili liko wazi kwa watu wenye umri wa miaka 18 na zaidi.
Uchezaji kamari unaweza kuathiri kama hautofanywa kwa kiasi.
0659 070 070
Email: info@chezapesa.co.tz
Copyright @2020 The Network Ltd Limited